Call: +255 22 2668992

CHUO KIKUU HURIA CHAMUAGA MWENYEKITI WA BARAZA ALIYEMALIZA MUDA WAKE, PROF. MUKANDALA

chuo-kikuu-huria-chamuaga-mwenyekiti-wa-baraza-aliyemaliza-muda-wake-prof-mukandala

Mwenyekiti mpya wa Baraza la Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania (OUT), Prof. Joseph Kuzilwa ameongoza hafla ya kumuaga Mwenyekiti wa Baraza hilo anayemaliza muda wake Prof. Rwekaza Mukandala, tukio hilo limefanyika Juni 24, 2022 Makao Makuu ya Chuo hiki Kinondoni jijini Dar Es Salaam mara tu baada ya kumalizika kwa mkutano wa Baraza wa kawaida katika kalenda na kuhudhuriwa na wajumbe wa Baraza la Chuo.