Call: +255 22 2668992

PROF. KUZILWA, MWENYEKITI MPYA ATAMBULISHWA KWENYE MENEJIMENTI

prof-kuzilwa-mwenyekiti-mpya-atambulishwa-kwenye-menejimenti

Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Joseph Kuzilwa, ametambulishwa rasmi kwenye kikao cha Menejimenti pamoja na kufanya ziara ya kutembelea baadhi ya Kurugenzi na Idara zilizopo makao makuu ya chuo hiki yaliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limefanyika Juni 23, 2022 wakati wa kikao hicho cha Menejimenti.