
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Makao Makuu, waungana na Wafanyakazi wengine nchini katika kusherehekea siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kwa mwaka 2022 katika ngazi ya mkoa iliyofanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar Es Salaam.