Call: +255 22 2668992

WAFANYAKAZI WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.

wafanyakazi-wa-chuo-kikuu-huria-cha-tanzania-waadhimisha-siku-ya-wafanyakazi-duniani

Wafanyakazi wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), leo May Mosi, 2023 wameungana na wafanyakazi wengine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya Wafanyakazi Duniani (May Day) kwa mwaka wa 2023 huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Mishahara Bora na ajira za staha ni nguzo kwa maendeleo ya wafanyakazi.”

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinawatakia kila la heri watumishi wote.