Call: +255 22 2668992

OUT MEI-MOSI KATIKA PICHA.

out-mei-mosi-katika-picha

Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), wameungana na wafanyakazi wengine nchini kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani Mei Mosi 2024, ikiwa na kauli mbiu ya “Nyongeza ya Mshahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha.”