Call: +255 22 2668992

Safari ya Kitalii ya watumishi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).

safari-ya-kitalii-ya-watumishi-wa-chuo-kikuu-huria-cha-tanzania-out

Matukio katika Picha:  Safari ya Kitalii ya watumishi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), iliyoanza Novemba 11 mpaka Novemba 17, 2022 ambapo wameweza kutembelea hifadhi mbalimbali ikiwemo hifadhi ya Taifa ya Tarangire, mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro, mbuga ya Serengeti na Visiwa vya Saanane jijini Mwanza. Katika safari hiyo watumishi hao wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wameweza kujionea vivutio mbalimbali vinavyopatikana nchini ikiwa ni sehemu ya kuburudika, kujifunza na kujumuika pamoja baina ya watumishi wa chuo hiki.