Call: +255 22 2668992

Archive

PROF. BISANDA AISHUKURU SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA OUT

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Bisanda, ameishikuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuboresha miundombinu mbalimbali ya chuo hiki ili kiweze kuwa karibu zaidi na jamii na kushiriki moja kwa moja katika kuleta maendeleo nchini....

read more