Call: +255 22 2668992

Archive

OUT KUBORESHA MIFUMO YA TEHAMA KUIMARISHA UFUNDISHAJI.

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimedhamiria kuboresha mifumo ya TEHAMA ya kufundishia kwa kuingia mkataba wa makubaliano na Chuo Kikuu Huria cha Uswisi unaolenga kuimarisha ushirikiano katika maswala ya tafiti na maendeleo kwenye eneo la ujifunzaji na ufundishaji unaotumia teknolojia ya kisasa ili kuendana na mabadilik...

read more