Call: +255 22 2668992

News List

news & article


Notice: Trying to get property 'slug' of non-object in /var/www/html/tovuti/wp-content/themes/edmento/framework-customizations/extensions/shortcodes/shortcodes/news/views/list.php on line 27
News image

Menejimenti ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) imeipongeza serikali ya wanafunzi wa OUT kwa utendaji kazi wake bora na ushirikiano wake wa karibu na uongozi wa chuo, unaofanya mambo magumu kwa wanafunzi kuwa mepesi na yenye kutatulika.

Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), limeridhika na utendaji kazi wa vitengo mbalimbali vya chuo ambao unachagizwa na ubunifu, ushirikiano, weledi, maarifa, ujuzi, uzingativu wa maadili, sheria, kanuni na miongozo na nidhamu ya hali ya juu ya watumishi wake.

Read More
Copyright © 2023. The Open University of Tanzania. All Right Reserved